Home » » SINTAH AMUUNGA MKONO FLORA LYIMO KWA JINSI ANAVYOTANGAZA BIASHARA YAKE MTANDAONI

SINTAH AMUUNGA MKONO FLORA LYIMO KWA JINSI ANAVYOTANGAZA BIASHARA YAKE MTANDAONI


Alichokiandika Sinta Kuhusu Jinsi Flora lymo anavyotangaza Biashara online:
Biashara ni matangazo na inapendeza sana ukiitangaza mweyewe muhusika kwa mfano mie nauza wedding dresses kutwa natangaza humu na navaa pia, na yeye Flora anauza  mother's union  so mpeni deal masela akamate mahela na hii xmass inakuja anakusafirishia buree kabisa na fasta, Mother's union oyeahhh
biashara ni matangazo  na itakuzika wewe mwenyewe ukiitangaza na kutuonyesha mfano kama utapendezaje ukiivaa, sasa ushatangaziwa Mother's union sasa kazi ni kwako kuagiza white, pink or red light special.
nipo busy ku advertise my business
wedding dresses
support Flora Lymo kununua chupi aina ya mother's union ili umuonyeshe baby xmass iko tofauti.....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz