Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Koleta alisema kamwe hawezi kusahau maumivu aliyopewa na mchumba wake wa zamani baada ya kumfuma zaidi ya mara moja na kumsababishia maumivu makali moyoni.“Niliumia sana, unajua nilikuwa bado binti hivyo nilimpenda kwa moyo wangu wote, alikuwa akiniambia maneno mengi mazuri na matamu lakini mwisho wa siku nikaishia kuumia,” alisema Koleta.
--GPL--