Basi la burudani lililopata ajali leo, katika kijiji cha Taula wilaya ya Handeni, imeripotiwa kua mpaka sasa watu 12 wamefariki,,na takriban watu 55 ni majeruhi.. Cheki picha za majeruhi..
Majeruhi wakipatiwa matibabu.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo ( kushoto) akiangalia mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu.
Manesi wakiendelea na matibabu kwa majeruhi.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website