Home »
UDAKU
» IMEGUNDULIKA, WANAWAKE WAREMBO NDIO WATEJA WAKUBWA WA WAGANGA UKILINGANISHA NA WALE WA KAWAIDA
IMEGUNDULIKA, WANAWAKE WAREMBO NDIO WATEJA WAKUBWA WA WAGANGA UKILINGANISHA NA WALE WA KAWAIDA
Nasikia masistaduh na warembo wengi ndio washiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake warembo ndio wanaoongoza kwa kugombea mabwana kulinganisha na wale wasio na sura zenye wingi wa vikwerombwezo
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website