
Mrembo mmoja maarufu (jina linahifadhiwa ) anaeishi huko mombasa kenya, majuzi alizua sokomoko lililoandikwa sana mtandaoni baada ya kukutana na njemba moja akiwa night club moja maarufu huko mombasa.
Kama kawaida , walikutana na kukubaliana mpango mzima huku njemba ikijua kuwa imepata kimwana wa haja..
After mid night, jamaa ikabidi achukue mzigo kuelekea hotelini alikokua amechukua chumba ili akale raha..
Mambo yaliotokea huko chumba ndio story yenyewe sasa..
Kumbe mdada mrembo ni "Lady boy" anajinsia mbili na kwa habari za kimtandao hiyo jinsia ya kiume nayo iko safiii...(infanya kazi)
Ndipo jamaa aliposhtuka na kuanza kuzua tafrani ambayo ili lazimu wahudumu na walinzi waje kuituliza...
Wadau..haya mambo ya kuokota tu warembo mitaani bila hata kuwa na "info about her" japo kidogo ni shidaaa....