Home » » MDAU KUTOKA MWANZA: MKE WANGU ANATAKA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..

MDAU KUTOKA MWANZA: MKE WANGU ANATAKA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..

Mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na watoto wawili kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma Mrekani Deree yangu ya pili 

kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie kinyume na maumbile.



Yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa siku kama mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko.sasa nimejua nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka sasa..

Nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ...

Swali linakuja hapa sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia ...sasa sijui nifanyaje ..naomba ushauri wa kina hapa !!
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz