Mahaka nchini Misri imemuhukumu mshabuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Misri, Mohammed Zidane kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka sita jela baada ya kumtia hatiani kwa kutoa cheki tatu mbovu kwenye kampuni ya real estate.
Kampuni hiyo ya (Arab Company for Projects and Urban Development) ilifungua mashtaka dhidi ya Zidan, mapema mwaka huu.
MCHEZAJI MAARUFU WA MISRI "ZIDANE" AHUKUMIWA MIAKA SITA JELA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website