
Kababa Yeyee akupigwa mangumi

Akisubiri ngumi itue kifuani

Awabeba vijana wa5

Kweli ng'ombe hazeeki maini, hawa jamaa walitangaziwa dau ikiwa wataugusisha mkono huo chini

Kababa Yeyee akiimba na wanafunzi alipotoa burudani siku ya uzinduzi wa somo la Teknolojia Habari na Mawasiliano [TEHAMA] hapo mkoani Tabora

Akimuuliza maswali mmoja ya wanafunzi kwenye tamasha hilo

Huku akiwa amekalia misumari ya ukweli na kumbeba mmoja ya mwalimu aliyejitokeza katika onesho hilo la kababa yeyee

Noma kweli washikaji zangu

Akijiinua kwenye misumari hiyo

Watoto wakimfurahia na kumuangalia kwa umakini mkubwa babu huyo akifanya yake
Video na Picha zaidi za Kababa yeyee, " like ukurasa wetu wa facebook"