Home » , » DIAMOND PLATINUMZ AKIWA KWENYE ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW VIJANA WALIOOMBA KAZI..

DIAMOND PLATINUMZ AKIWA KWENYE ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW VIJANA WALIOOMBA KAZI..



Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview
 baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa
 mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa juzi,mwitikio
 
 wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma
 email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu 
kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi
 tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
 
 kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata
 changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo 
 na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana 
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili
 na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango
 tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....
Ahsanteni sana
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz