Home » , » BABY MADAHA: NAYAJUA MAMBO KITANDANI ,NDIO MAANA WANAUME WANAPAGAWA

BABY MADAHA: NAYAJUA MAMBO KITANDANI ,NDIO MAANA WANAUME WANAPAGAWA


Wakati  kukiwa  na  madai  kuwa  msanii Baby  Madaha  anatumia  dawa  za  kienyeji  kuwateka  wanaume  kimapenzi, mrembo  huyo  ameibuka  na  kusema  kuwa  siri  ya  kuwateka  wanaume  ni  utundu  wake  kitandani....

Baby Madaha  amedai  kuwa  tuhuma  za  kutumia  dawa za  kienyeji  hata  yeye amezisikia   tu, lakini  wote  wanaomtuhumu  hivyo ni  kwamba  hawamjui  yukoje anapokuwa  kitandani...

Alisema  kuwa  utundu  wake  anapokuwa  kitandani  ndo  siri  ya  kuwateka  wanaume kwani  huzingatia  sheria  na  kanuni  zote  za  maandalizi  ya  tendo  hilo  pindi awapo  amteja  wake  kitandani....

Madaha  aliongeza  kuwa  hata  huyu  mkenya  aliye  naye  watu  wanasema kamuwekea  awa.Ukweli  ni  kwamba  yeye  hajatumia  dawa  yoyote  bali karidhika  na mapishi  yake  ya  chumbani...

"Situmii  dawa  yoyote.Ni  ufundi  wangu  tu  ninapokuwa  kitandani  na  mwanaume. Nayajua  mapishi  na  najua  njia  zote  za  kumpagawisha  mwanaume  hata  awe  mgumu kiasi  gani"...Alisema  baby Madaha
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz