Mahakama ya rufaa nchi leo imeacha huzuni kwa wapenzi wengi wa muziki wa dance, baada ya kutupilia mbali rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela inayomkabili Mwanamuzi mkongwe Babu Seya.
Rufaa hiyo iliokua inasimamiwa na wakili Mabele Marando ilisikilizwa leo katika mahaka ya Rufaa jiji Dar es Salaam.
Kushindwa kwa rufaa hiyo, kunapelekea Babu Seya na mtoto wake waendelee kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela iliyo tolewa mwaka 2004.
Home »
BURUDANI
,
KITAIFA
,
UDAKU
» BABU SEYA ASHINDWA KESI, KUENDELEA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MAISHA JELA
BABU SEYA ASHINDWA KESI, KUENDELEA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MAISHA JELA
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website