Usiku wa kuamkia leo nguzo za umeme zaidi ya tano zimeanguka katika maeneo ya Bamaga mwenge baada ya nguzo moja kugongwa na gari na kupelekea nyingine kuanguka.
Tukio hilo liliambatana na moto ulisababishwa na umeme na kupelekea kuibua taharuki kubwa kwa watu waliokua katika maeneo hayo.
"Mungu ametunusuru hili tukio halijatokea nyakati ambazo kunakua na foleni barabarani, maana kungetokea madhara makubwa sana" alisema shuhuda wa tukio hilo.
Hali ni kama unavyoiona