
Gazeti moja la udaku Hapa nchini limehoji tabia ya Msanii wa Bongo Movies Lulu Michael''Lulu'' Kupima Ukimwi Mara kwa mara Likidai ana nini mpaka Kila Mara afanye hivyo ..Limesema Wengi wanahoji Kwa vile wanahisi kuwa anabadilisha wanaume mara kwa mara so kila wakati inabidi Apime .
Wengine wanadai kua alishatembea na mwanaume ambaye inasemekana ni muathirika wa HIV kwahiyo kitendo chake hicho cha kupima mara kwa mara ni kutaka kujiridhisha na majibu anayoyapata.....Mmhhh kazi Kweli Kweli..