Mcheza tenesi maarufu duniani, Serena Williams hivi karibuni aliibua utata kutokana na picha aliyopiga akiwa hana nguo hata moja(naked).
Picha hiyoo inayoonyesha sehemu yote ya mwili wa Serena huku akiwa amejiziba kwa mikono yake sehemu ya kifuani.
Picha hiyo iliyoko kwenye nembo ya ESPN "The Body issue" imeleta utata baada ya wapenzi wa mcheza tenesi huyu kudai kua inamshusha mwanadada huyo.