Watu saba wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya magari mawili ya abiria yanayofanya safari zake kutoka jijini Tanga kwenda wilayani Korogwe kugongana uso kwa uso katika kijiji cha chang'ombe kilichopo katika barabar kuu inayo unganisha tanga na wilay ya korogwe Kuona picha zaidi na video,'' like facebook page yetu" tembelea: www.facebook.com/peruzihabari |