Msanii maarufu wa VICHEKESHO (Komedi) Ndugu. Ismail Issa Makombe a.k.a KUNDAMBANDA, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Kundambanda alikuwa mgombea ubunge wa CUF na UKAWA kwenye jimbo la
Masasi - Mtwara katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Disemba 2015
baada ya ule wa Oktoba kutofanyika kutokana na kifo cha aliyekuwa
mgombea wa awali wa UKAWA, Mhe. Emmanuel Makaidi (NLD). Katika uchaguzi
huo wa Disemba 2015 Kundambanda alipata kura 14,069 dhidi ya kura 16,597
za (mshindi) Rashid Chua Chua kutoka CCM. Taratibu za mazishi
zinafanyikia nyumbani kwao Masasi. Inna lillah wainailayna rajiun. RIP
Kundambanda.
NEWS ALERT: KUNDAMBANDA afariki Dunia
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website