Mrema Afunguka:
"Tarehe 16 Saa mbili asubuhi nilipigiwa simu na Rais Magufuli akanambia anataka kunipa kazi sikuamini, wala Mimi sikukataa kataa kama nikasema na iwe utakavyo Rais, Mbatia na wenzake walinichangia kama Mpira wa kona mwaka Jana, nashangaa wapinzani mnavyozira ovyo!! Kule kwetu Vunjo anayezira ni Mwanamke, nyie mnakimbia yule mama Bungeni ni Wanaume gani Nyie??" Mrema
#MkutanoWaCCMDodoma kumpata mwenyekiti
Home »
SIASA
» Mrema Atoa Mpya 'Nawashangaa Wapinzani Mnavyozira Ovyo, Kwetu Anayezira no Mwanamke, Wanaume Gani Nyie?'
Mrema Atoa Mpya 'Nawashangaa Wapinzani Mnavyozira Ovyo, Kwetu Anayezira no Mwanamke, Wanaume Gani Nyie?'
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website