Juma Jux and Vanessa Mdee Continuation new photos of their Vacation at Serengeti National Park.
Talking to EATV Jux said " "Wimbo wa Wivu ni matukio ya kimapenzi ambayo yanatokea kwa watu wengi
ila siyo kama nimejiimbia mimi, unajua kabla sijarekodi wimbo ule tukiwa
studio niliwauliza wakina Bob Manecky na wengine jamanii mnadhani
'idea' hii inaweza kuwa sawa ndipo hapo wakaniambia ni wazo zuri kwani
kwenye mapenzi bila uwepo wa wivu kuna kuwa hakuna mapenzi ya kweli,
ndiyo hapo nikajua kumbe suala hili linawagusa watu wengi" alisema Jux.