Home » » AJALI: Basi la UDA Laigonga Treni Eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

AJALI: Basi la UDA Laigonga Treni Eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar

Ajali mbaya sana imetokea jana Kariakoo Gerezani, watu sita wamepoteza maisha papo hapo akiwemo konda wa kampuni ya UDA. Dereva wa gari hilo alikimbia baada ya kutokea ajali hiyo..Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz