Hii imekuwa video iliyosambaa zaidi mitandaoni baad aya kutolewa kama
tangazo kuwa msanii Diamond Playnumz anatoa kazi yake mpya aliyofanya na
wasanii wa kimataifa kutoka Nigeria P Square.
Leo Diamond ameandika haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:
"My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can
be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua
unakiu kias gani....haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe
mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! )
Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa"
Hii ni miongoni mwa collabo zilizosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki
wa bongo fleva,nyingini ni pamoja na collabo yake na Neyo na WizKid.