Home » , » Wabunge wa Upinzani Watoka nje ya Bunge....Watoa Sababu Mbili za Kufanya Hivyo

Wabunge wa Upinzani Watoka nje ya Bunge....Watoa Sababu Mbili za Kufanya Hivyo


Wabunge wa Upinzani jana walitoka nje ya Bunge kwa madai kuwa Serikali ya Awamu ya Tano hadi sasa haina 'Mwongozo wa kuiongoza Serikali'. Madai mengine wanapinga ubadilishwaji wa matumizi ya fedha kwa kigezo cha kubana matumizi bila kushirikisha bunge

Je unamaoni gani?
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz