Home » , , » BREAKING NEWS: Rais Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amemteua mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

Hatimaye Kile kitendawili cha Nani Atakuwa Waziri Mkuu wa Awamu ya Tano Kimepata jibu asubuhi hii..
Rais Amemteua Mh Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania

Jina hilo limetangazwa leo na Spika wa bunge Mh. Ndugai.

Tusubiri kama ataendana na kauli mbiu ya #Hapakazi tu.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz