Home » , » Breaking News:Profesa Lipumba Kashindwa Kuvumilia, Haya Ndio Maamuzi yake Magumu

Breaking News:Profesa Lipumba Kashindwa Kuvumilia, Haya Ndio Maamuzi yake Magumu

Kumekuwa na stori nyingi ambazo zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.

August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.

Kunani?
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz