Aliyekuwa mfanyakazi wa Clouds Media, Cynthia Maximillan, amejikuta akitiwa mbaroni kwa madai ya kutapeli mamilioni ya shilingi ya wafanyakazi wenzake na marafiki aliosoma nao.
Inadaiwa kuwa mrembo huyo alitiwa rumande kituo cha polisi Oysterbay, baada ya kuwakusanya marafiki zake na kuwapa mchongo kuwa, kuna viwanja vinapatikana huko Bagamoyo kwa shilingi mil 1.5 kupitia Chama cha Mazingira Fukayosi.
Inasemekana kuwa baada ya kupewa fedha hizo mrembo huyo alianza kuwaletea habari ambazo walikuwa hawazielewi na ndipo wakachukua uamuzi wa kumshtaki kwa utapeli wake.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Clouds, Ruge Mutahaba, amedai kuwa anaomba umma ujue kuwa mrembo huyo sio mfanyakazi tena wa kampuni hiyo kwani aliachishwa kazi na yeye pia ni mhanga wa utapeli huo
Mfanyakazi wa Radio Clouds Mbaroni kwa Utapeli wa Viwanja.....
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website