Home » , » Jibu la Linah Baada ya Shabiki Kuuliza Uhusiano wake na Kaka yake Zari (Bosi Mutoto).

Jibu la Linah Baada ya Shabiki Kuuliza Uhusiano wake na Kaka yake Zari (Bosi Mutoto).

Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na kaka yake Zari The Boss lady ambaye ni girlfriend wa Diamond.

Kwenye Exclusive Interview Linah ameongea na Millard Ayo alipotembelea studio za TZA na hilo swali kuulizwa na shabiki, tazama hii video hapa chini…

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz