ESTER BULAYA Ameingia Tatu Bora ...KATIKA WILAYA YA BUNDA NA KUWA MTU WA TATU
MATOKEO YA BUNDA MJINI
PIUS KURA 61
MAGEMBE KURA 40
BULAYA KURA 37
FRANK KURA 35
MAGANJA KURA 5
JANE KURA 0
CHACHA KURA 0
Katika Ukurasa Wake wa Facebook Ameandika Hivi:
CHADEMA tunaendelea tulianza na mungu tunamaliza na mungu, nawashukuru sana wanachadema Bunda kwa kunipokea na kunipa heshima kubwa, mbali ya ugeni wangu ndani ya chama mmeonyesha mnaniamini. mmenipendekeza kwenye majina matatu ili kusubiri uteuzi wa vikao vya kamati kuu vitakavyoamua nani apeperushe bendera katika jimbo la Bunda. Lakini pia mkanipendekeza kuwa namba moja kwenye viti maalum kwa kura nyingi. Nawaahidi sitowaangusha, yeyote atakae pita kati yetu tutashinda Bunda Mjini. Mungu ibariki Chadema ibariki Tanzania
Home »
KITAIFA
,
SIASA
,
UDAKU
» Breaking News...Ester Bulaya Apeta Kura Ubunge na Chadema Kupitia Kura za Maoni...
Breaking News...Ester Bulaya Apeta Kura Ubunge na Chadema Kupitia Kura za Maoni...
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website