
Mwaka uliopita 2013 ulikuwa wa Mafanikio Makubwa sana kwa Wasanii hasa wa Bongo Flava ..Wengine wameweza mpaka kushika nyoyo za Mashabiki nje ya Tanzania ...Je unafikiri nani ni Mwanamuziki Bora Katika Mwaka ulioisha jana 2013? Comment Jina la mwanamuziki unae dhani ni Bora