Home »
UDAKU
» PICHA : MATUKIO KATIKA MAZISHI YA SUPER STAA PAUL WALKER
Watu mbalimbali wamemiminika katika mazishi ya star Paul Walker. Mashada ya maua yalionekana kulipamba sanduku lililokua na mwili wa marehemu paul walker.
Mastar kibao, walioongozwa na van diseal ,the rock,ludacris, jasson,tyrese, jay z na wengine wengi, walikuepo kwenye mazish hayo...