Home »
KITAIFA
» NDEGE YA PRECISION AIR YAPATA AJALI,, MH. LOWASSA NI MIONGONI WA ABIRIA WALIOKUA NDANI YA NDEGE HIYO..
NDEGE YA PRECISION AIR YAPATA AJALI,, MH. LOWASSA NI MIONGONI WA ABIRIA WALIOKUA NDANI YA NDEGE HIYO..
Abiria waliokuwemo katikausafiri wa ndege akiwemo wWaziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuwa pasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa Arusha leo mchana.
Ndege hiyo ya shirika la ndege la precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua, ambapo Matairi yote manne ya nyuma yalipasuka na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria.
"Yaani Mungu ni mkubwa kwa kweli, ametunusuru maisha yetu na kiongozi kipenzi chetu Lowassa...Mungu atamlinda jamani...siamini" alisikika akisema mama mmoja miongoni mwa abiria hao wakati akishuka.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website