Yele miss ''booty'' kutoka nchini Kenya hivi majuzi amepost picha kwenye mtandao ikionyesha nyumba inayosemekana ni yake huo Abuja Nigeria.
Miss booty huyoo ambaye yuko Nigeria kwa muda sasa akiwa katika ''mishe'' zake za kimitindo na sanaa ali-share picha hiyo inayoonyesha maandishi''god is great''