
Ilivyofika nafasi ya prof Muhongo yeye alituonyesha twakimu na data zinazoonyesha watanzania wanaomiliki maeneo makubwa ya uwekezaji,,,katika twakimu hiyo Dr Mengi anashika nafasi ya 3 na anaukubwa wa eneo ambalo ukubwa wake mara 3 ya dar es salaam,,
Lakini hamna cha maana anachonufaisha watanzania badala ya yeye tu kutajirika binafsi..baada ya data hizo kutolewa Mengi alikua hana amani pale alipokaa na alikua huku akinyoosha mkono apewe nafasi ya kuongea wakati yeye alishaongea
Baada ya mdahalo kuisha dr Mengi,Mnyika,Tundu lisu,na Mtatiro wakajihisi wapo DEFEATED baada ya ile nyundo ya Muhongo,,wakaamua kukusanya watu na kuhaidi kua ule mdahalo utaendelea tena jpili ijayo na utarushwa na ITV ili wajibu ile nyundo ya
MUHONGO..Muhongo alikua anaongea kwa data wakati wao walikua wanaleta maneno matupu tu ndio maana walioloa JASHO jana..
Prof Muhongo amtwanga nyungo nzito Mengi mpaka akaweweseka......