Home » , » HATIMAE SHILOLE NAYE AONYESHA PICHA ZA MJENGO WAKE ULIOPO KIMARA JIJINI DAR...CHEKI HAPA..

HATIMAE SHILOLE NAYE AONYESHA PICHA ZA MJENGO WAKE ULIOPO KIMARA JIJINI DAR...CHEKI HAPA..

Shilole amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye hatua ya mwisho kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu.”
 Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye biashara ya madini.

Fid Q amepost picha inayoonesha madini ya ruby na kuandika: #RubySozite #NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!”
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz