


Kilichoendelea KIGOMA muda mfupi uliopita ni Maandamano Makubwa ya wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani humo.
Baadhi ya mapango yaliobebwa na waandamanaji hao,,yalikua na ujumbe ''Slaa huwezi siasa rudi kahubiri kanisani''.
Ililazimu jeshi la polisi litumiwe kudhibiti waandamanaji hao ambao inasemekana ni wanachama wa chadema..