Home »
SIASA
» BAADA YA GAZETI LA TANZANIA DAIMA KUANDIKA UONGO, RIDHIWANI KIKWETE AFUNGUKA,,CHEKI ALICHOSEMA..
BAADA YA GAZETI LA TANZANIA DAIMA KUANDIKA UONGO, RIDHIWANI KIKWETE AFUNGUKA,,CHEKI ALICHOSEMA..
"Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la kaka yangu Mbowe (Tanzania Daima) la leo Disemba 20, 2013 lilivyotumia jina langu kutafuta mapato na labda kwa nia nyingine.
Gazeti hilo katika ukurasa wake wa kwanza na wanne linaripoti kwamba jana Disemba 19, 2013 nilikuwa mkoani Mwanza kumuwakilisha Mheshimiwa Rais!
Napenda jambo hili lifahamike na lieleweke:
Ukweli ni kwamba jana, Disemba 19, 2013 sikuwepo Mwanza na wala sikutoka nje ya wilaya ya Kinondoni
Ni imani yangu kuwa taarifa hii ilichapishwa makusudi. Ninaheshimu sana uhuru wa vyombo vya habari lakini kwa hili sasa mmezidisha.
Nakaribisha maoni yenu, kama taarifa kama hii isiyo sahihi na ya kupotosha ingechapishwa dhidi yako, ungechukua hatua gani?
Jumaa Kareem!
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website