Home »
BURUDANI
,
KITAIFA
,
SIASA
,
UDAKU
» MBUNGE WA KAWE (Mh.HALIMA MDEE) ATUMIA MTANDAO KUMSIFU DIAMOND PLATINUMZ
MBUNGE WA KAWE (Mh.HALIMA MDEE) ATUMIA MTANDAO KUMSIFU DIAMOND PLATINUMZ
Mbunge Wa Kawe “Kwa Wajanja” Ammwagia Sifa Msanii Diamond Platinumz Kwa Kazi Zake …
Mbunge wa kuchaguliwa jimbo la Kawe “Kwa Wajanja” katika bunge la Tanzania kupitia chama pinzani cha CHADEMA Halima James Mdee, leo amemmwagia sifa msanii mahiri wa Bongo Flava nchini Tanzania, Diamond Platinumz kutokana na uwezo anaouonyesha katika sanaa ya muziki nchini Tanzania.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter mheshimiwa Halima James Mdee amepost tweet za kumsifia Diamond kwa kusema, “Huyu dogo DIAMOND…..Mungu ambariki….ni mtoto wa kitaa…aliyeonyesha kwamba inawezekana..ktk sanaa yetu , kutoka 0-100%.
BE BLESSED!”
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website