Home » » (TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17

(TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17


Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. International Medical and Technological University (IMTU) – Kozi zote.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – Kozi zote.
3. University of Bagamoyo (UoB) – Kozi zote..
4. St. Joseph University of Engineering (SJUCET) – Kozi zote..
5. University of Dodoma (UDOM) – Kozi ya udaktari
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Kozi ya udaktari
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz