Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
HATIMAYE Masanja Mkandamizaji amvisha pete mchumba wake
Miongoni mwa vitu vinavyozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii ni pamoja
na picha zinazomuonyesha Masanja Mkandamizaji akimvisha pete msichana
anaedaiwa kuwa mchumba wake,kwenye picha hizo Masanja na mchumba wake
huyo wanaonekana wakiwa kanisani na baadhi ya waumini akiwemo Mc
Pilipili na Emanuel Mbasha.
Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
Hapo chini kuna video ambazo zimewekwa na Mc Pilipili zikionyesha mazingira halisi ya namna shughuli hiyo ilivyokuwa.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website