Home » , » Huyu Ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi .....Kazi Kwenu Majangili

Huyu Ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi .....Kazi Kwenu Majangili

Pichani ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa kero kwa nchi hii.

Ikumbukwe kuwa kuna wakati Tanzania ilifikia kuwa kinara cha matukio ya ujangili kiasi cha Serikali ya Awamu ya Nne kuanzisha Operesheni Tokomeza ambayo nayo haikuisha vizuri.

Maliasili ya Tanzania ikitunzwa vizuri inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato kwa nchi ambayo yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa uchumi kupitia utalii.

Tunakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya Meja Jenerali Gaudence Milanzi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz