Home » , , » Ali Kiba: Cindelela ilipo’Hit’ Ndoto za Kuwa Mchezaji Mpira Maarufu zilikufa

Ali Kiba: Cindelela ilipo’Hit’ Ndoto za Kuwa Mchezaji Mpira Maarufu zilikufa

Ali Kiba Uwanjani
Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo na mpira alikuwa anauweza hasa mpaka kutaka kusajiliwa na timu moja kubwa..
Kiba amefunguka kwanini aliacha mpira;

‘’Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguuka,lakini kwenye mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira,’’Kiba
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz