Home » , » Hii Ndio Picha ya Kwanza ya Diamond Akiwa na Mtoto wake Latiffah

Hii Ndio Picha ya Kwanza ya Diamond Akiwa na Mtoto wake Latiffah

Latiffah Naseeb Abdul a.k.a Tiffah Dangote au kama wazazi wake Diamond na Zari wanavyomuita ‘The African Royal Princess’, anaendelea kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii akiwa na umri wa siku moja tu

Kupitia akaunti yake ya Instagram @princess_tiffah iliyofunguliwa jana baada ya kuzaliwa, imepostiwa picha ya kwanza ya baba na mwana, Diamond akiwa na mtoto wake kitandani. Hata hivyo mtoto anaonekana mkono tu.

Hii ndio caption iliyoandikwa katika post hiyo:

My Dad Couldn’t seep last night, he was staring at me the whole night #MyFirstDayInTheStateHouse”.

Mpaka sasa akaunti ya @princess_tiffah imefikisha followers 44,357 ikiwa ni siku moja toka ifunguliwe.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz