Home » , » Diamond anyakua tuzo mbili za NAFCA 2015 nchini Nigeria

Diamond anyakua tuzo mbili za NAFCA 2015 nchini Nigeria

Staa wa Bongo fleva nchini anayetamba kwa sasa na wimbo wa ‘Nana’ huku akiitambulisha Tanzania Kimataifa zaidi katika tasnia muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wikiendi hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’ Choice Awards
Diamondss (1)Vipengele alivyoshinda Diamond kwenye NAFCA ni Msanii bora wa mwaka na Wimbo bora wa mwaka.

Tuzo hiyo ni mafanakio zaidi kwa Diamond na tasnia nzima ya muziki nchini ikiwa ni siku chache tangu staa huyo anyakue tuzo za MTV MAMA 2015 katika kipengele cha Mtumbuizaji bora
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz