Anajulikana kwa jina la Tracy Lawrence, mi raia wa Ghana na anaumri wa miaka 28. Alijitoa muhanga kwa kufanya mapenzi na wanaume 1000 tofauti.
Alianza kufanya mapenzi akiwa na umri wa miaka 15 na mpaka sasa inasemekana tayari ameshafanya mapenzi na wanaume zaidi ya 1000.
Ikifika 24 mwezi huu, anaweza kuingizwa kwenye kitabu cha rekod duniani kama mwanamke aliyefanya mapenzi na wanaume wengi tofauti.