Home »
UDAKU
» MWANADADA ''COCO'' ASEMA HAJAWAHI KUTUMIA DAWA ZA KICHINA KUONGEZA MATITI WALA MAKALIO YAKE..
Msanii maarufu anejulikana kwa jina la Coco Austin amewajibu wale waliokua wakimtuhumu kwamba ametumia dawa za kichina kuongeza ukubwa wa makalio na matiti yake kwamba hakuwahi hata kufikiri kitu kama hicho.
''Sijawahi kuwaza, wala kujaribu kutumia dawa wala upasuaji ili kuongeza ukubwa wa matiti yangu'' alisema Coco alipokua kihojiwa na jarida la ''the Mirror'' la Marekani.
Cheki hapa chini akionyesha the ''booty''