Home » » MAMBO UPYA.. SASA DIAMOND NA WEMA MAPENZI WAZI WAZI...

MAMBO UPYA.. SASA DIAMOND NA WEMA MAPENZI WAZI WAZI...

Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz