
Tafrani kubwa ilizuka kwa abiria walikuemo kwenye kivuko cha Mv.Magogoni baada ya injii zake kuzima wakati kivuko hicho kikiwa katikati ya bahar ya hindi.
Tafrani hiyo ilitokea wakati Mv. maggoni ilipokua inaeleka kigamboni na kusababisha tahruki kubwa kwa abiria walikuamo ndani yakivuko hicho..