Home » » HILI NDIO BALAA LA WAGANGA WA KIENYEJI..CHEKI KILICHOMKUTA HUYU MREMBO

HILI NDIO BALAA LA WAGANGA WA KIENYEJI..CHEKI KILICHOMKUTA HUYU MREMBO

Kuna maneno mitaani kwamba baadhi ya waganga wa kienyeji ni ''washenzi'' kupitiliza na kwamba kama dem/wife wako atatua kwenye mikono yao bas ujue ataliwa tu!

Balaa hilo lilimkumba mrembo mmoja huko nchini Burundi, baada ya kwenda kwa mganga na kueleza shida yake na maganga kutoa tiba ambayo ilileta utata!

Tiba hiyo ilimlazimu mrembo huyo kutoa ''uroda'' kwa mganga ili dawa aliyopewa ifanyekazi vizuri..
Kabla ya hapo. maganga alitoamashart ya kwamba ikiwa atakataa kutekeleza alichomwambia bas dawa ingemgeukia na kumdhuru yeyemwenyewe!

kazi kwenu mnaoenda kwa waganga !!...
''BONYE TANGAZO LINALOONEKANA CHINI AU PEMBENI KUSHIDA ZAWADI YA KRISMAS INAYOTOLEWA NA MTANDO HUU'
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz