Home »
UDAKU
» HATIMAE OPRAH WINFREY AELEZA KWANINI HANA MTOTO NA HATAKI KUA NA MTOTO...
Baada ya maneno mengi mitandaoni, hatimae Presenter mwenye mafaniko makubwa'' Oprah Winfery'' amefunguka na kueleza kwanini hana mtoto/ hataki kua na mtoto licha ya umri wake mkubwa alionao ...Oprah anasema ,si kwamba hana uwezo wa kupata mimba/kuzaa kama ambavyo vyombo vingi vya habari viliripoti hapo awali bali uwezo anao na hana tatizo lolote.
Cheki hapa anachosema "my ambition is to be powerful woman in the world"If I had kids, my kids would hate me. "They would have ended up on the equivalent of the Oprah show talking about me; because something in my life would have had to suffer and it would've probably been them. Gayle [King, Winfrey's best friend and now a mother of two] was the kind of kid who, in seventh grade Home Ec class, was writing down her name and the names of her children.While she was having those kind of daydreams, I was having daydreams about how I could be Martin Luther King."