Home »
BURUDANI
,
KITAIFA
,
MICHEZO
,
UDAKU
» KOCHA MKUU WA SIMBA SC, ABDALLAH KIBADENI PAMOJA NA MSAIDIZI WAKE, JULIO WATIMULIWA
KOCHA MKUU WA SIMBA SC, ABDALLAH KIBADENI PAMOJA NA MSAIDIZI WAKE, JULIO WATIMULIWA
Kocha mkuu wa Simba Abdala Kibadeni pamoja na Msaidizi wake Julio Wametimuliwa kazi katika timu ya Simba kwa Kile kinachosemekana ni utendaji wa kazi Mbovu...
Kamati ya utendaji ya Simba SC imefikia uamuzi huo baada ya kutoridhishwa na matokeo ya michezo ya raundi ya kwanza katika ligi kuu ya Vodacom.
Inaarifiwa kwamba Simba SC itamleta kocha mpya Mzungu Anaitwa Bobby Williamson...Ambaye alikuwa kocha wa Gori Mahia ya Kenya.
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan
klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website