Home » , , » TAZAMA Video Mpya ya Diamond Akishirikiana na P-Square

TAZAMA Video Mpya ya Diamond Akishirikiana na P-Square

Diamond Platnumz ambaye ni muda umepita toka athibitishe kufanya collabo na wasanii mapacha wanaounda kundi la P Square, Peter & Paul leo July 12 ameamua kuachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki, video mpya Diamond ft P Square inaitwa ‘Kidogo’

Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz