Home » » Benki Zaanza Kuwakamua Watanzania kwa Kuongeza kodi (VAT) ya 18%

Benki Zaanza Kuwakamua Watanzania kwa Kuongeza kodi (VAT) ya 18%

Ukifanya muamala wowote wa kutoa pesa benki kuna makato mfano kwa CRDB ni 2,200. Maana ya hii kodi ni kuwa sasa utakatwa TZS 2,596. Vile vile ukifanya malipo kwa njia ya TISS makato yalikuwa ni TZS 10,000; kwa sasa utakatwa TZS 11,800.

TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA NCHI YETU
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan klik disini untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Creating Website
 
Copyright © 2011. PERUZI HABARI - All Rights Reserved
Proudly powered by Peruzitz